Exodus 40:31-32

31 aNaye Mose, Aroni na wanawe wakayatumia kwa kunawia mikono na miguu yao. 32 bWakanawa kila walipoingia katika Hema la Kukutania au walipoikaribia madhabahu kama Bwana alivyomwagiza Mose.

Copyright information for SwhNEN